Bobbi Kristina ambaye ni binti pekee wa mastaa Boby Brown na Whitney Housto amefariki jana jumapili katika kituo cha Peachtree Christian Hospice,Duluth,
Georgia ikiwa ni miezi sita tangu Jan 31 alazwe hopspitali chini ya uangalivu baada ya kukutwa mwili na uso wake ukiwa umezama katika sinki lamaji nyumbani kwake Atlanta ambako alipokuwa akiishi na mwanaume aliyekuwa akimuita mumuwe,Nick
Gordon.
Afisa mmoja wa kituo cha afya cha The Fulton County Medical Examiner alithibitisha kifo cha Bobbi Kristinajumapili usiku.
Mastaa kibaoo akiwamo wshindi wa tuzo za Grammy Missy Elliot walituma salamu za pole na rambi rambi kwa familia,Missy aliandika"My heart is truly heavy. May u rest in
peace with your mommy #BobbiKristina sending prayers 2 the
Brown/Houston family."
Stara wa tamthilia ya "Empire" Taraji P. Henson alitwee, "Rest in heaven."
"RIP
#BobbiKristina My deepest sympathies 2 your father #BobbyBrown n your
GrandMa #CissyHouston We will miss ya 4sho darling ;)
Mcheza fillamu Vivica A. Fox aliandika ''Peace at Last!"
Wengine ni P Diddy,Ludacris,Snoop Dogg.
Mcheza fillamu Vivica A. Fox aliandika ''Peace at Last!"
Wengine ni P Diddy,Ludacris,Snoop Dogg.
0 comments:
Post a Comment