Baqir Raza ambaye ni dereva wa taxi ya New York City ametakiwa ku;ipa faini ya kiasi cha dola 25,000 kwa kosa la kum bagua mama mmoja mweusi aliyefahamika kwa jina la Ctyntia Jordan.
Mnamo mwaka 2013 Bwana Baqir akiwa kazini mita ya Mnhattan alikataa kumpakia Cynthia Jorand ambae alikuwa na mabinti zae kwa kuwalokia milango na kuwaambia gari haipo kazi japo taa ya kiashiria yu kazini ilikuwa inawaka na kama haitoshi alionekana mbele kidogo kama hatua kumi akiwapakia wakina mama wakizungu.
Derva Baqir Raza amepigwa faini ya kiasi cha dolla 25,000 ambap dola 15,000 JIJI NA DOLA 10,000 anapatiwa bi Cynthia Jordan.
0 comments:
Post a Comment