Tyga ameamua kuanika na kuweka hadharani mapenzi yake kwa binti mwanamitindo toka familia ya Kadarshian Kylie Jenner kwa kishindo.
Katika kusherekea siku ya kuzaliwa na kutimiza miaka 18 mwanamitindo mpenzi wake Kylie Jenner, hi maker huyo wa “Rack City” amemzawadia mrembo huyop gari ya kifahari aina ya Mercedes G-Wagen nyekundu ambayo inatajwa kugharimu zaidi ya dola 115,000.Kylie alionekana akiendesha gari lake hilo alilozawadiwa na mpezi wake wakati wakielekea ilipoandaliwa sherehe malumu ya chakula cha usiku (dinner) ajili birthday yake ambapo alijumuika na familia huko Malibu siku ya ijumaa usiku.Rapa Tyga pamoja na kutoa bonge la zawadi hakuwapo ila Kylie alishekea na madada zake Kim, Khloe, Kourtney na Kendall na wazazi wao Kris and Caitlyn Jenner.
Tyga bado hajafunguka juu ya mahusiano yake na binti huyo ambaye alikuwa aanasemwa ni wa umri mdogo kwake ila ana mchoro wa jina la binti huyo katika mkono wake.
0 comments:
Post a Comment