Jana jumatatu (August 10) The West Coast walikuwa ndani ya nyumba huko Los Angeles katika sehemu ya kwanza ya uzinduzi wa filamu ya historia ya kundi la hipphop la N.W.A ,Straight Outta Compton katika ukumbi wa Microsoft Theater Mastaa kibao kuanzia Kendrick Lamar,Snoop Dogg ,Common,The Game,Schoolboy Q,Abby Soul,Dwyane Wade na wife wake Gabrielle Union, Sevyn Streeter, Tyrese, Xzibit namuimbaji wa zamani wa One Direction,Zayn Malik majina makubwa katika sanaa ya hip-hop walihuduria sherehe hiyo ya uzinduzi wa hawali wa uzinduzi wa filamu hiyo iliyobeba maudhi ya historia ya kundi la N.W.A ambalo lilitambuliwa kama world’s most dangerous group.Dre alipita katika zuria jekundu akiwa na mkewe, Nicole Young na watoto wao watatu wakati rapa na mcheza filamu Ice Cube pia aliungana na mkewe, Kimberly Woodruff na mtoto wao O’Shea Jackson Jr ambaye ameigiza kma baba yake katika filamu hiyoa ya Straight Ooutta Compton.wegine walioigiza katika filamu hiyo ni Corey Hawkins ambaye aliigiza kama Dr. Dre na Jason Mitchell ambaye aliigiza kama (Eazy-E).
Straight Outta Compton itaanza kuonyeshwa rasmi katika majumba ya sinema ijumaa hii.
0 comments:
Post a Comment