Star wa muziki wa R&B na muigizaji wa filamu,Tyrese amefanya kile tunachoweza kukiita kurudisha fadhila kwa jamii,Star huyo wa muziki wa R&B na filamu amemlipia ada ya masomo katika chuo kinachotambulika kwa jina la Morehouse kijana aliyefahamika kwa jina la Lolenzo Murphy aka Zo,The Motivator.kwa mujibu wa shuhuda,Tyrese amemlipia kijana huyo zaidi ya dolla 50,000 kama ada chuani hapo.
Katika kuthibitisha hayo “Zo,The Motivator”kupitia mitandao ya kijamii alituma picha akiwa na Tyrese na kumshukuru.
0 comments:
Post a Comment