Jana (August 5), rapa Meek Mill amefunguliwa mashitaka na mmiliki wa nyumba aliyokodisha rappa huyo huko Beverly Hills kwa kufanya sherehe wakati wa sherehe za utoaji wa tuzo za Grammy.Mmiliki wa nyumba hiyo alipata taarifa za kufanyika pati hiyo alimuonya mpangaji wake ambaye ni Meek Mill kwamba hata kama anafanya sherehe nyumba yake hiyo hawaruhusiwi wageni zaidi ya sita kwa wakati mmoja lakioni Meek alikaidi agizo hilo na kufanya sherehe na kualika idadi kubwa ya watu katika nyumba hiyo na baadaye kusababisha uharibifu mkbwa kama anavyodai mmiliki wa nyumba hiyo.
Mmmiliki huyo anasema amefikia hatua a kumfungulia mashtaka Meek baada ya rapa huyo kukwepa kuzungumza na mmiliki huyo wayamalize.
Mastaa Justin Bieber, Khloe Kardashian, French Montana, Chris Brown na Nicki Minaj wametajwa katika kesi hiyo kwani alihudhuria sherehe.
0 comments:
Post a Comment