Busta Rhymes amekamatwa na polisi na kusekwa ndani huo NYC baada ya kumshambulia mtu kwa kumpigaa na kikontena cha kitu kilichofahamika kama Muscle Milk akiwa mazoezini,gym.
Shuhuda wa tukio anasema Busta alikuwa mazoezini ndipo yalipotokea majibizano na mabishano na mtu mmoja ambaye hakulifahamu jina lake mara Busta akamrushia mtu mtu huyo kikontena cha plastic kilichokuwa na power drink.Baada ya tukio ilipigwa simu na polisi walifika eneo la tukia na kumchukua Busta na kumfungulia mashtaka ya shambulizi.
Mwanasheriwa wa Busta,Scott Leemon, amesema mtu huyo alitumia nafasi kumzingua mteja wake kwa kujua ni mtu maarufu hivo atalipwa.
0 comments:
Post a Comment