Unaweza kusema bado kuna chembe chembe za mapenzi kati ya mastaa waimbaji waliowahi kuwa wapenzi miaka iliyopita,Chris Brown na Rihanna.
Wakati Chris Brown anahangaikia haki za malezi kwa mtoto wake wa kike,Royalty,alijikuta akiwa na siku nzuri,na hii ni baada ya kupokea ujumbe mzuri toka kwa mrembo ambaye alikuwa mpezi wake na hivi karibuni amekiri kuwa bado anampenda,Rihanna.Taarifa zinasema wiki iliyopita Rihanna alifika nyumbani kwa mama wa Chris Brown na kumpelekea zawadi za hearing za almasi kwaajili ya Chris Brown na binti yake,Royalty.
Je hizi ni dalili tosha kwa wawili hao kurudiana na kuwa wapenzi tena?
0 comments:
Post a Comment