Rapa T.I. anatajwa kuwa na utajiri wa dola millioni 215.
Daily Mail Online wameandika rapa T.I. andaiwa dola 4.5 kama kodi aliyokwepa kwa miaka kadhaa.Katika kesi imefunguliwa huko Georgia mapema mwezi huu na mamlaka ya ukusanyaji kodi ya mapato nchini marekani IRS dhidi ya rappa T.I.ambaye jina lake kamili ni Clifford Harris,inasema rapa huyo na mkewe Tiny wanakabiliwa na kesi ya kukwepa kulipa kodi kwa miaka ya 2012 na 2013.
Rapa T.I mwenyeumri wa miaka 34 anatajwa kuwa na utajiri wa dola millioni 215 na kufuatia habari hiyo rapa huyo na timu yake wamesema wanaangalia kulimaliza tatizo hilo.
million.
0 comments:
Post a Comment