Jarida la Forbes kila mwaka hutoa orodhaya wanamuziki wenye mafanikio zaidi na waioingiza mkwanja zaidi.
Mwaka huu orodha hiyo ya Forbes Hip-Hop Cash Kings imetoka na imesheni majina ya wnamuziki waliojiingizia mkwanja zaidi kupitia muziki,ziara za muziki na uwekezaji katika biashara mbali mbali.
Orodah hiyo mwaka huu imeongozwa na The Money Making Mitch himself,bosi wa Bda Boy,Sean “Diddy” Combs,akishika No. 1 akiwa na utajiri wa dolla millioni 60 alizojiingizia kupitia kukitangaza kinywaji cha Ciroc vodka ambaye yupo studio kuipika abamu ya pili ya No Way Out II, Diddy pia ana TV network Revolt, clothing line Sean John na maji ya alkaline yanayoitwa.
Kwa mwaka wa pili mfurulizo Jay Z anashika namba 2 akiwa na utajiri wa dolla millioni 56 alizojiingizia kupitiarecord lebo yake ya Roc Nation yenye wasani kama Rihanna,Kanye West na wakali wengine na mauzo ya kinywaji cha Armand de Brignac
champagne.
Drake amejipenyeza mpaka nafasi ya 3 kutoka nafasi ya 4 mwaka jana ambapo anatajwa kuwa na utajiri wa dolla millioni 39.5 kupitia ziara za muziki,matangazo ya kinywaji cha Sprite na mavazi ya Nike .
Tazama orodha hiyo na kiasi wanachotajwa kujiingizia mastaa hao hapo chini: Hip-Hop Cash Kings 2015
1. Diddy: $60 million
2. Jay Z: $56 million
3. Drake: $39.5 million
4. Dr. Dre: $33 million
5. Pharrell: $32 million
6. Eminem: $31 million
7. Kanye West: $22 million
8. Wiz Khalifa: $21.5 million
9. Nicki Minaj: $21 million
10. Birdman: $18 million
11. Pitbull: $17 million
12. Lil Wayne: $15 million
13. Kendrick Lamar: $12 million
13. J. Cole: $11 million
14. Snoop Dogg: $10 million
16. Rick Ross: $9 million
17. Tech N9ne: $8.5 million
18. Ludacris: $8 million
19. T.I.: $6 million
20. Macklemore & Ryan Lewis: $5.5 million
Wednesday, September 23, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment