Drake amefungua mgahawa huko kwao Toronto.Rappa huyo aliungana na mastaa kibao katika ufunguzi wa mgahawa huo.
Drake alifanuya pati ya ufunguzi wa mgahawa huo jana (September 21) katika mtaa wa King St. West. Drake alihudumia kama deejay katika shughuli hiyo iliyohudhuriwa na mastaa akiwamo mama yake,star wa tennis Serena Williams,Jada Pinkett-Smith na mwanaye Jaden Smith .
Mgahawa huo umepewa jina la Frings na ni biashara ya ushirikiano na mpishi maarufu na mmiliki wa migahawa mikubwa Canada,Susur Lee,
Wednesday, September 23, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment