Ikiwa ni usiku mmoja tangu kuonyeshwa kwa project yake ya Documentary 2 huko
New York City ambayo inamuonyesha safari yake ya muziki na utambulisho wa albamu yake kubwa katika maisha yake.
Rappa The Game alifanya mahojiano wamtangazi wa kipindi cha Ebro in
the Morning,Rosenberg na Laura Styles na kuongelea mambo mengi kama albau yake hiyo ya Documentary 2 na kuhusishwa na aliyekuwa mpezi wa Chriss Brown,Karrueche Tran.
The Game alisema alichokifanya ni ku like tu pics za mrembo huyo ambaye kwasasa ndiye pekee aliye fuata katika mtandao kwani hakuwahi kumfuata mtu mwingine.
He's currently following no one on his Instagram page.
Wednesday, September 23, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment