Michael Jordan ametengeza mkwanja wa kutosha.
Akichukuliwa kama
moja kati ya wachezaji wakubwa na waliong'ara zaidi katika ligi ya
mpira wa kikapu marekani NBA,Michael Jordan pia ni moja kati ya
wachezaji wa mpira huo waliojiingizia mkwanja zaidi.
Mtandao wa
PBS umepost habari za kushtua kuhusu kiasi gani MJ alijiingizia akiwa
anacheza mpira wa kikapu na imeshangaza kuona Jordan alijiingizia kiasi
cha dolla millioni 94 katika kipindi cha miaka 15 lakini amejiingizia
zaidi ya dolla millioni 100kwamaka jana tu kupitia mauzo ya nguo,raba na
mavazi mbalimbali yenye nembo za Jordan .
Wednesday, September 16, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment