Lil Wayne imetangazwa anadaiwa kiasi kisichopungua
dolla millioni 2 kama malipo ya miaka mitatu ambayo hajailipa kampuni
ya wakodishaji wa ndege za kifahari za private jet.
Kampuni hiyo mwezi August mwaka 2014 walimfungulia mashataka Li Wayne kwamba wanamdai dolla millioni 1 na walishinda kesi.
Msemaji
wa kampuni hiyi inayofamhamika kama Signature Group amesema pamoja na
mahakama kusema wameshinda kesi Lil Wayne hakuwalipa hivyo gharama
zimeongezeka kama dola 800,000 na hivyo kufikia dolla millioni 2.
Lil
Wayne and Young Money pia wapo matatni katika madeni mbalimbali
yakiwemo mamilioni ya mauzo ya tiketi za maonysho waliyoshindwa
kuhudhuria.
0 comments:
Post a Comment