Kama ilivyo bongo,malalamiko na minong'ono huwa haikoseknani either
iwe katika kutajwa wanaowania tuzo ama walioshinda tuzo hizo na America
vivyo hivyo.Baada ya kituo cha televisheni cha BET kutaja majina ya
wanaowania tuzo za BET Hip Hop Awards50 Cent 2015,rappa na bosi wa G-Unity,50 Cent amwajia juu na kuwachana waandaaji wa tuzo hizo haswa katika kipengele cha Video
Director of the Year baada ya Eif Rivera,ambaye ameongoza video ya bosi huyo wa the G-Unit ' "9 Shots" video,kutotajwa kuwania tuzo hiyo.
Kupitia
akaunti yake ya Tweeter 50 Cent aliandika: "Director of the Year, 👀
where the fu😡k is Eif Rivera?" aliandika maneno hayo chini ya pich yake
na Rivera wakiwa na kitita cha pesa na kuongeza kuandika: "You
have the same list ever year. "
Wanaowania tuzo kipengele cha
Video Director of the year mwaka huu ni Alan Ferguson, Benny Boom, Chris
Robinson/Lil Chris, Colin Tilley and Director X. wakati mwaka jana
waliowania ni Benny Boom, Chris Robinson, Director X, Dre Films na Hype
Williams ambaye mwaka huu hakutajwa lakini alichukua tuzo hiyo mwaka
jana.
Sherehe za utoaji tuzo za 10 za BET Hip Hop Awards zimepangwa kufanyika October 13.
Thursday, September 17, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment