Rappa T.I.P. alifanyiwa mahojiano na kipindi cha Ebro in the Morning
na waliongelea mada mbali mbali zikiwemo kubadili jina lake kutoka T.I
mpaka T.I.P,muziki wake mpya mpaka mahusiano yake na rappa wa kike,Iggy
Azalea.
Kuhusu Iggy,
T.I. alianz auona dalili za kutokuwa sawa tangu kipindi alipokosolewa
kuhusu miiko ya Hiohop na Legendaru rappa Q-Tip,kwani T.I anasema kama
Iggy alilalama kwamba hakuwa upamndewake kumtetea kama msanii wake japo
alijisahau kwamba alimkingia kifua pindi wanarushiana maneno na vijembe
na Snoop Dogg.
T.I
ambaye sasa anafahamika kama T.I.P amesema alivyoona dalili za Iggy
kuondoka na kutaka kufanya mambo yake hakuwa na jinsi ya kumzuia kwani
anaamini amefanya smart movo na atakuwa sawa huko aendako kwani ana
kipaji,Tip piaameongza kusema hakuwa na muda wa kupoteza zaidi na Iggy
labda wayaweke sawa kwani kwasasa yupo bize akipika albamu yake ya 10
studio.
The rapper also found his way to dodge the recent Drake and Meek Mill beef wanting nothing to do with that beef.
0 comments:
Post a Comment