Baada ya rappa T.I kufanya mahojiano katika radio na kuongelea kuhusu msanii wa lebo yake,Iggy Azalea,rappa huyo wa kike naye ameongea kitu kuhusiana na mahojiano hayo kati ya bossi wake, T.I. na kipindi cha Ebro in the Morning.
Katika mahojiano hayo ilionekana moja kati ya sababu za za kumtema katika lebo yake ni sambamba na mdomo mchafu kwa Legendary rappa anayeheshimika,Q-Tip.
Iggy Azzalea amejibu mpigo kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter kwa kuandika mlolongo wa jumbe kuhusiana na kile kilichoongelewa na bosi wake na mtangazaji wa radio juu ya mustakali wa uwepo wake katika record lebo ya Grand Hustle.
Moja kati ya maneno aliyosema ya kutatanisha ni : I'm still signed to T.I and do busness with him anda the first ive herad of us having issue is via radio interview.
Tazama mlolongo wa jumbe hizo hapo chini:
Friday, September 18, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment