Mitandao ya kijamii imekuja na mambo mengi.Ukiachilia mbali watu kupata uhuru na wepesi wa kujitangaza kwa haraka pia mengi mazuri kwa wenye matumizi mazuri na mitandao hiyo.
Mara hii kimekuj kitu kipya kinachofahamika kama “The Greatest Celebrity Selfies Of All Time.”
Picha ya Rihanna aliyojipiga binafsi huko kwao Barbados mi moja kati ya zilizomo katika zilizotajwa.Moja kati ya sababu zilizopelekea picha ya Rihanna aliyopiga katika tamasha la Crop Over festival,kuingizwa katika orodha ya “The Greatest Celebrity Selfies Of All Time.” ni mapenzi ya star huyo kwa nchi yake hiyo.
Snoop Dogg aliingizwa katika orodha hiyo baada ya picha yake ya kituko ya “Pancake Face” .
"This image makes
this list because it combines three things that are very important to
the Internet: food, emojis, and Snoop Lion,” the story says. "His name may change, but his pancake face selfie is forever.”
0 comments:
Post a Comment