Jay Z na mkewe Beyoncé wametajwa kuwa ni ma homeless na mtandao unaoongoza kuandika habari za kidaku za mastaa wa TMZ.
Mtandao huo wa TMZ uliiandika habari hizo za mastaa hao mabilionea kuwa ma homeless baada yabari ya kuuzwa kwa mmiliki mwingine jumba ambamo wanaishi sasa.
Habari zaidi zinasema Jay Z na mkewe Beyonce wamepewa siku 60 tu kutafuta pa kuhamia na kuondoka mjengoni hapo maeneo ya jiji la Los Angeles.
Jay Z na mkewe Beyonce inasemekana wanatuia zaidi ya dolla 150,000 kwa mwezi kwaajili ya makazi ya muda huko Los Angeles.
0 comments:
Post a Comment