Leonardo DiCaprio ni moja kati ya waigizaji maaruf wa filamu na wanaolipwa zaidi lakini maswali mengi toka kwa mashabiki na wadau wa filamu kwamba kwanini staa huyo hajawahi kushinda tuzo ya heshima ya Oscar.
Leonardo DiCaprio amecheza kinara katika filamu zilizouza zaidi duniani kama:Aviator,The Depared,The Wolf Of Wall Street,Blood Diamond,Body Of Lies,The Man in the Iron Mask,Garden of Eden,Gangs of NY,Romeo and Juliet na Titanic lakini hajapewa tuzo ya heshima ya Oscar hata moja.
Hizi ni sababu zinazosemekana.
He’s been unlucky ( hana bahati )
He’s TOO consistent (thabiti:mweny misimamo sana ama m bishi )
He doesn’t do “gimmicks” ( siyo mjanja mjanja )
His best work doesn’t get noticed ( hana nyota ya kuonekana ubora wa kazi zake )
He’s overshadowed by co-stars ( kivuli kikubwa kwa waigizaji wenzake )
0 comments:
Post a Comment