Msanii Jaguar wa Kenya amingia katika orodha ya mastaa kama Justin Beiber, Wiz Khalifa, Chris Brown kutembelea Cyboard akiwa mjini London.
Jaguar anatajwa kuwa mmoja kati ya wasanii matajiri wa nchini Kenya.Muimbaji huyo alihudhuria tamasha maalumu la kutangaza utamaduni wa Kenya Fest huko
London akiwa anatembelea kifaa hico cha kisasa maalumu cha kutembelea kinachofahamika kama Cyboard.
Kifaa hicho kimeonekana kutumiwa na mastaa kama The Biebs himself, Chris Brown , Nick Jonas,
Zedd, Soulja Boy, Kendall Jenner, JR Smith, Nicki Minaj, Wiz Khalifa,
Nina Agdal, David Ortiz, Karim Benzema nk.
Thursday, September 10, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment