Mtoto wa kiume wa rappa DMX,Xavier Simmons,ametangaza kuuza ngao za thamani za baba yake katika mtandao wa kuuza vitu mbalimbali wa eBay .
Ngao hizo ni za vyeti vya mauzo ya platinum It's Dark and Hell is Hot, ...And Then There was X and Flesh of My Flesh Blood of my Blood.
The plaque was offered at $3,000.
Ngao hizo za thamani zilitangazwa kuuzwa kuanzia dolla 3000.
Mtotot huyo wa DMX ambaye aliwahi kushirikishwa katika kipindi cha televisheni cha Iyanla Fix My Life inasemekana hana mahusiano mazuri na baba yake huyo na aliyekuwa mke wa rappa huyo,Tashere amesema mtoto huyo alishawahi kutamka angemuua baba yake huyo.
Kipindi hiki rappa DMX anatumikia kifungo cha miezi 6 kwa makosa mbalimbali yakiwemo ya kutosaidia matumizi ya mtoto.
Thursday, September 10, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment