Jiandae kwa maajabu yanakuja. Ronaldo na Messi wapo njiani kuvaa jezi moja.
Akiwa na furaha ya kuchukua tuzo za 2015 MTV Africa Music Awards, muimbaji mahiri toka Nigeria Davido ametangaza kitu kikubwa kwa wapenzi wa muziki.
Muimbaji huyo wa hits kama Gobe alishinda tuzo ya Best Male na kupongezwa na Wizkid aliyekuwa akiwania tuzo hiyo pia.
Wakali hao wawili wamekuwa wakiongelewa na mashabiki kama maadui ama washindani wakubwa lakini picha waliyopiga baada ya Davido kuchukua tuzo ilibadili fikra hizo.
Sehemu kubwa iliyobeba ujumbe mkubwa wapicha hiyo ilikuwa maneno aliyoyaandika Davido.: “DAVIDO X WIZKID DROPS NEXT MONTH!!”
0 comments:
Post a Comment