Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, September 15, 2015


Mtandao wa ET umeandika,baada ya kuwa katika mahusiano ya kimapenzi kwa takribani mwaka mmoja,mastaa Lil Wayne na Christina Milian wamwagana. Rappa Lil Wayne na mumbaji Christina Milian kwa mara ya kwanza waliweka wazi mahusiano yao mwezi July mwaka 2014 na ripoti za kumwagana kwao zimejitokeza 2015 mwezi August mwishoni.Christina Milian alikuwa hakubali akiulizwa kama yumo katika mahusiano ya kimapenzi na Lil Wayne lakini akaja kuudhihirishia ulimwengu pale alipojichora tattoo "TnT” tkwamana ya Tina and Tunechi.Katika moja ya mahojiano na kipindi cha televisheni cha E! Online,Christina Milian alisema:“We have a very fun and cool relationship,”. “He’s a very genuine person and no matter what, love comes first with him.”

0 comments:

Post a Comment