T-Pain amesema huwa anaimba live katika matamasha na maonyesho tofauti na wengi wanavyodhani kuwa anatumia kifaa maalumu cha kuchonga na kunogesha sauti.
T-Pain aliyasema hayo wakati akihojiwa na mwandishi wa jarida la Complex kufuatia kuimba live vizuri na kwasuti kali na ya juu wimbo wa taifa wa marekani katika uwanja wa Dodgers Stadium Los Angeles on August 31 ambapo wengi walidhani ametumia kifaa hicho.
T-Pain alisema :“I sing live at my shows all the time. I
never use auto-tune at my shows. When people hear it they still think —
people are going to think what they think basically. Ain’t no reason to
sit back and try to prove anything.
Akimanisha:huwa naimba live bila kutumia kifaa cha kunogesha sauti katika maonyesho na matamasha,ila watu wakinisiia huwa wandhani natumia kifaa hicho,sina sababu ya kuwathibitishia na wala sitorudi nyuma na kuacha.
T-Pain pia amesema yupo studio anashughulikia albamu yake mpya ambayo haitokuwa ya Club wala radio sana ila tegemeeni albamu iliyosheheni mziki mzuri.
Ukitaka kujua uwezo wa T-Pain sikiliza ngoma zake kama Bartender,I'M Sprung.5 O'Clock,Buy You a drank,
Friday, September 4, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment