Wakati wasanii wa bongo wakigoma kutoa albamu,albamu ya tatu ya rappa toka pande za North Carolina,J. Cole's,
2014 Forest Hills Drive, imefikia mauzo ya platinum.
J.Core aliachia madukani albamu hiyo mwezi December mwaka 2014 na ikashika namba moja katika chati za bora za Billboard Top 200 (kama hapa TZ Radio One Top Ten na Ladha 10 za bongo),albamu wiki hii imeshika namba 27 katika chati hizo.
Kufikia mauzo ya Gold inabidi uwe umeuza nakala 500,000 na zaidi,Platnum ni mauzo ya nakala zaidi ya 1000,000.
0 comments:
Post a Comment