Bieber is back on top. Justin Bieber kwa albamu yake mpya Purpose kushika namba moja amefikisha albamu sita kushika namba moja katika chati za Billboard 200 .
Billboard wameandika albamu hiyo mpya ya Bieber imevuka mauzo ya nakala 649,000 ekatika wiki yake ya kwanza na kuifanya iwe ya kwanza kwani imefanya vema katika mauzo tangu Billboard walipoanza mchakato wa kushindanisha mauzo ya nakala mwezi December 2014.Albamu hiyo ya Bieber imeipiku hata albamu ya Drake’s If You’re Reading This It’s Too Late,ambayo ilianza na mauzo ya nakala 535,000.
Purpose imepiku pia albamu ya staa huyo ya mwaka 2012,Believe,ambayo ilianza wiki ya kwanza kwa mauzo ya nakala 374,000. Purpose ndiyo albamu inayofanya poa kimauzo kwasasa ukiacha albamu ya Taylor Swift, 1989 ambayo ilianza na mauzo ya nakala 1.29 mwaka jana.
Bieber also scores his fifth consecutive No. 1 debut following 2013’s Believe: Acoustic, 2012’s
Tazama orodha ya 10 bora katika Billboard 200 Top 10
1. Justin Bieber – Purpose – 649,000
2. One Direction – Made in the A.M. – 459,000
3. Logic – The Incredible True Story – 135,000
4. Jeezy – Church in These Streets – 107,000
5. Chris Young – I’m Comin’ Over – 65,000
6. Chris Stapleton – Traveller – 53,000
7. Trans-Siberian Orchestra – Letters From the Labyrinth – 46,000
8. The Weeknd – Beauty Behind the Madness – 43,000
9. Alessia Cara – Know-It-All – 36,000
10. Kirk Franklin – Losing My Religion – 35,000
Tuesday, November 24, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment