Albamu mpya ya Rihanna, ANTI,itaachiwa kupitia mtandao wa TIDAL siku ya ijuma (November 27).
Albamu hiyo ya Rihanna ya 8 pia itaachiwa katika maduka na mitandaoni wiki moja baada ya kuzinduliwa katika mtandao wa TIDAL.
Sambamba na uzinduzi wa albamu yake hiyo mpya na ya nane,Rihanna ametangaza kufanya ziara ya muziki ya kuzunguka dunia aliyoipa jina The 60-date trek imedhaminiwa na kampuni ya vifaa vya electronic ( Samsung ) itaanza mwezi February mwaka 2016 ambapo mpaka sasa amewatangaza mastar Travis Scott ,The Weeknd na Big Sean kuwa watamsindikiza.
Ziara hiyo itaanzia North American Feb. 26 huko San Diego na baadayre arenas katika miji kama Houston, Atlanta, Miami, Brooklyn, Las Vegas,Los Angeles mpaka mwezi May 7 hukoOakland.
Baada ya hapo Rihanna ataendelea na ziara hiyo ulaya mwezi June huko U.K., Ireland, Sweden, Denmark, Italy, France, Germany nk.
Tuesday, November 24, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment