David Beckham ametajwa na jarida la People Magazine kuwa the Sexiest Man Alive 2015 ( mwanaume mwenye mvuto zaidi ).
David Beckham,mwenye umri wa miaka 40, hivi karibuni alifanya mahojiano na kipindi cha Jimmy Kimmel Live! na wakaongelea kuwa atajisikia vipi akitajwa kuwa mwanaume mwenye mvuto zaidi wakati jarida hilo likisherekea anniversary yake ya miaka 30 ambapo Bekham alisema itakuwa ni jambo heshima.
0 comments:
Post a Comment