Wiki iliyopita Billboard ilitoa orodha yake ya marapa 10 bora zaidi siku zote orodha ambayo hata mimi binasfi niliikooa kwani kuna majina ya wakali sikuyaona.
The Long Beach,California rappa Snoop Dogg kupitia ukurasa wake wa Instagram aliongea hisia zake juu ya rapa Tupac kutotajwa katika orodha hiyo kwa kuandika:"This is so disrespectful. "Whoever did this list need a ..... No. Tupac. akimaanisha hii ni uvunjifu wa heshima,yeyote aliyehusika na kuandaa na kutajwa kwa orodha hii anastahili adhabu fulani.
0 comments:
Post a Comment