Mwanamasumbwi mwenye mweynye mkwanja na rekodi ya kutopoteza pambano,Floyd Mayweather,bado anaongeza kuonyesha mbwembwe za mkwanja na matumizi japo amestaafu.Mayweather amemzawadia mwanaye wa umri wa miaka 16 Koraun zawadi ya Mercedes Benz thamani kubwa ya aina ya Coupe .
Thursday, November 19, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment