Pharrell Williams jana alihudhuria tamasha lililoandaliwa na A&E
Network la‘Shining A Light’ huko Los Angeles.Pharrel alionekana amevalia smart lakini ana kovu chini ya jicho.
Hakuna anayefahamu kiundani nini kimemsibu Pharrel mpaka akaumia ila kuna uvumi kwamba walipishana lugha na Jay Z akapigwa ngumi jichoni iliyopelekea star huyo kuumia chini ya jicho.
Wanaosambaza uvumi huo wamedai Jay Z alimpiga ngumi Pharrell kufuatia kukataa kusaini dili na kampuni yake ya Tidal na badala yake amesaini dili na kampuni ya Apple Music.Chanzo kimoja kinadai kilichomkasirisha zaidi Jay Z ni kwamba Pharrel ni moja kati ya watu walioshinikiza kuanzisha kwa kampuni hiyo ya Tidal.
0 comments:
Post a Comment