Siri nyuma ya mtazamo na muonekano maridadi ( super fresh look ) wa rapa,m bunifu wa mitindo na mtayarishaji wa muziki Kanye West’imegundulika.
Kanye West hutengeneeza na kuweka nywele zake vizuri kila siku na kuzilipia dolla 500.
Hayo yamesemwa na mtu mmoja aliyepata kuwa karibu na Kanye West alipokuwa katika ziara ya muziki na muimbaji mahiri Rihann kwa takribani mwezi mmoja mnamo mwaka 2010.
Akiongea na mwandishi wa jarida moja huko marekani shuhuda huyo alisema alimshuhudia Kanye West akikata na kutengeneza nywele zake kila siku na kuwalipa wanaomtengeneza dolla 500.
Shuhuda huyo alimtaja kinyozi aliyebahatika ni kinyozi maarufu na mzoezu toka mitaa ya mji wa Chicago,Lbn Jasper, ambaye inasemekana ameanza kunyoa Kanye miaka 20 nyuma tangu Yeezus hajawa star hivi.
Ibn sasa anafanyia kazi zake huko New York .
0 comments:
Post a Comment