Thanksgiving Day ni sikukuu ya kimila ambayo huwakutanisha familia na marafiki na kupata mlo maalumu,husherekewa na raia wa United States kila alhamisi ya nne ya mwezi November na imeanza kusherekewa tangu mwaka 1863.
Watu mbalimbali husherekea sikukuu hiyo kwa namna yao lakini mastaa Chris Brown ma rappa 50 Cent wameamua kusherekea kwa kugawa bata mzinga wapatao 2000 kama sehemu ya kuonyesha upendo wao kwa wakazi wa Jamaica, Queens.Rappa 50 Cent baada ya tukio hilo alipost sehemu za picha hizo katika Instagram wakigawa bata mzinga hao na kuandika caption:
“I honestly challenge the celebrities. We
think about ourselves all the time and take everything for granted.
Driving nice cars, jewelry, pretending to be something we aren’t. Let’s
give back because it’s the right thing to do. #OHB”.
0 comments:
Post a Comment