Instagram wanaichunguza akaunti ya rapa The Game' jjbaada ya rapa huyo kutuma picha kadhaa katika mtandao huo akiwa na nguo za ndani.Taarifa zaidi zinasema waendeha mtandao huo wanataka kuziondoa picha hizo ama kuifunga kabisa akaunti ya rappa huyo.
Kufuatia tukio hilo rapa the game kupitia akaunti hiyohiyo ya Instagram ametuma kipande cha video na ameandika:
"Word on the street is, Instagram is threatening to ban my account if
I don't take the meat print picture down " akimaanisha Instagram wanatishia kunifungia akaunti yangu kama sitoziondoa picha wanazodai nimbaya.The Game pia aliumbaia mtandao wa story za kidaku za mastaa wa TMZ kwamba anachohisi ni kwamba mtandao huo unapendelea kwani picha zake si chafu kama za Kim Kardashian ambazo bado zimo katika akaunti yake.
Thursday, November 26, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment