Posted by djnicotracktz
on 11/26/2015 01:59:00 AMNo comments
Justin Bieber 21 anataka kukodisha ukumbi mkubwa unaochukua zaidi ya watu 18,118 na maarufu kwa mpira wa kikapu unaotumiwa na timu maarufu z mchezo huo kama Los Angeles Sparks, Los Angeles Lakers, Los Angeles Clippers, Los Angeles Kings wa Staples Center kwaajili ya kitu kinachoitwa romantic
movie night na Selena Gomez 23 kutazama filamu mpya ya Star Wars
0 comments:
Post a Comment