Recording Industry Association of America ( RIAA ) Leo wametangaza kwamba albamu ya King of music,king of Pop,Michael Jackson,Thriller ambayo ilizinduliwa mwaka 1982,imekuwa albamu ya kwanza kufikia mauzo ya platnum mara 30 huko United States peke yake huku mauzo ya dunia nzima ikidariwa kuwa ni zaidi ya platnum 100.
Kwa kuthibitisha hayo tazama alichokiandika CEO wa RIAA ,Cary Sherman hapo chini.
Marisa Mendez: Twitter || Instagram
“RIAA has awarded Gold & Platinum records on behalf of the music business for nearly 60 years, but this is the first time an artist has crossed the 30X multi-Platinum plateau. We are honored to celebrate the unique status of Thriller in Gold & Platinum history. What an exceptional achievement and testament to Thriller’s enduring spot in our hearts and musical history.”
0 comments:
Post a Comment