Nicki Minaj amethibitisha kuwa atatumbuiza kkatika tamasha lililoandaliwa huko Angola juamosi hii (December 19) japo kumekuwa na maneno ya ........kutoka kwa watu wa haki za binadamu.
The Queens,New York rapa,Nicki Minaj ama queen wa YMCMB aliposti ujumbe huo siku ya tarehe 16 december 2015 kuthibitisha kushirki na kutumbuiza katika tamasha hilo kwa kuandika kupitia mitandao wa instagram na Tweeter kwa kuandika:"ANGOLA! R u ready for the show?!???! Can't wait to
see u guys! Get your tickets here!" akimaani " angola je mko tayari kwa ajili ya shoo? nina hamu sana ya kuwaona siwezi hata kusubiri tafadhali pata tiketi yako mapema".
Nicki Minaj atatumbuiza siku ya jumamosi hii
(December 19) katika tamasha maalumu la kusherekea sikukuu ya Christmas huko Angola,tamasha lililoandaliwa na kampuni ya simu ya
Unitel.
Thursday, December 17, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment