Floyd Mayweather anatuaonyeshanamna ya kutumia pesa kama unazo.
Star huyo wa mchezo wa masumbwi duniani ambaye ana rekodi ya kucheza michezo 49 kutopigwa hata mchezo mmoja huku akishinda michezo26 kwa KO,amenunua saa ya gharama kubwa iliyonakshiwa almasi katika shopping aliyoifanya hivi karibuni huko Dubai.
Tunatarifiwa kwamba Floyd alitumia zaidi ya dola millioni 1.5 katika shapping hiyo huko ambapo dola millioni 1.1 alitumia kununua saa.
Tuesday, December 15, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment