Akiwa anaelekea kustaafu,star wa mpira wa kikapu marekani,Nike na Kobe Bryant wanakuja na toleo jipya la raba za Nike,Kobe 11 sneakers maalumu kwaajili ya msimu wake wa mwisho katika ligi ya mpira wa kikapu ya NBA.
Raba hizo kwa nyuma zitakuwa na na nembo ya Greek hero upande wakulia na upande wa kushoto utakuwa na vijimistari vikiwakilisha alama za mishono kama kumbukumbu ya Bryant'kuumia mwaka 2013.Viatu hivyo vitatolewa January 9
Tazama raba hizo hapo chini:
Tuesday, December 15, 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment