Msanii wa Kenya anayeimba style ya bongo ,Kigoto anasema amewahi kuwasikilizisha wimbo huo wasanii kadhaa toka Tanzania akiwamo Shettah.
regarding the Kerewa smash hit which featured Diamond Platninumz.
regarding the Kerewa smash hit which featured Diamond Platninumz.
Kigotoambaye jina lake kamili ni Ali Mbonde alisaidiwa na director wa video kutoka Mombasa
,Hamza Omar ambaye alimtambulisha kwa Shetta ambaye alikwenda Mombasakutumbuiza na kufanya video na msanii Chapattizo.Kigoto anasema aliona ni nafasi nzuri kufanya collabo na Shetta ambapo walikubaliana kufanya wimbo pamoja japo Sheta alikuwa amechoka hakuweza kufanya lolote ikabidi yeye aandike verse zote na kumtaka Shetta kurekodi wimbo huo alioupa jina Data.
Shetta na Kigoto pia walirekodi wimbo na Mombasa best producer, TK2 ambapo
Kigoto alifanya verse moja na chorus na Shettaakafanya verse mbili.
Msanii Kigoto anasema alishtushwa baada ya kuusikia wimbo wake alioupa jina Data umefanya upya na Shetta akiwa amemshirikisha Diamond na kuupa jina “Kerewa”.
Msanii Kigoto anasema alishtushwa baada ya kuusikia wimbo wake alioupa jina Data umefanya upya na Shetta akiwa amemshirikisha Diamond na kuupa jina “Kerewa”.
Kwa mtazamo ni kama Shettah alimzunguka Kigoto.
0 comments:
Post a Comment