Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, December 10, 2015

 Image result for lionel richie
Lionel Richie amekiri kwamba yupo mbioni kumfungulia mashtaka muimbaji Adelle kuhusu kutumia jina la wimbo wake ‘Hello.
Akiongea na waandishi wa gazeti la The Sun, Lionel Richie aliongea kama masihala:“You can’t use my word without my acknowledgement.(akimaanisha huwezi kutumia maneno ama tungo zangu bila kunihusisha).
Lionel Richie amesema kwanza anaangalia je kuna mantiki ya mtu kumiliki neno? Wanasheria wanalishughulikia na watakuja na jwabu juu ya hilo.
Lionel Richie alitoa wimbo Hello mwaka 1983

Hello" is a song by English singer and songwriter Adele. It was released on 23 October 2015 by XL Recordings as the lead single from her third studio album, 25. Adele co-wrote the song with her producer, Greg Kurstin. "
 The music video for the song broke the Vevo Record by achieving over 27.7 million views within a 24-hour

0 comments:

Post a Comment