What will Drake say? ndiyo swali ambao mashabiki wengi wanajiuliza ikiwa ni kweli Nicki Minaj amevishwa pete ya uchumba na rapa Meek Mill.Ikiwa ni siku moja tangu asherekea siku yake ya kuzaliwa,Jana 9 Dec Nicki Minaj ameonyesha pete ya uchumba ya almasi katika mitandao ya kijamii ikiwamo Instagram.
Nicki Minaj 33 pamoja na kutupia picha hizo alimshukuru mpenzi wake Meek Mill, kwa kusema: “Now this is what I’m talking about baby.” See the ring here!Katika habari nyingine tunaambiwa Rapa Meek Mill kun uwezekano wa kusweka jela kwa kukiuka masharti aliyokiuka ya kutosafiri kufuatia makosa yake ya mwaka 2009 ya kukmatwa na silaha na madawa ya kulevya ambapo alitumikia kifungo toka mwaka 2012 mpaka 2014.
0 comments:
Post a Comment