Bodyguard wa rapa Future,Michael Phillips, 27 amekutwa ameuwawa mchna wa jana (January 25) nyumbani kwake huko Jonesboro,Georgia.Maafisa wa usalama wa Georgia wamethibitisha kuuwawa kwa bodyguard huyo.
Kituo cha televisheni cha Fox 5 kimeripoti kwamba majirani walisikia mabishano kisha milio ya milio ya risasi nyumbani mwa Phillips ambapo mkewe alikuwapo lakini sehemu nyingine ya nyumba hiyo.
Maafisa wa usalama bado wanamsaka muuaji wa Phillips ambaye ndiyo kwanza ameoa hivi karibuni na anataraji mtoto.
Tuesday, January 26, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment