Nick Cannon yupo poa na kitendo cha aliyekuwa mkewe na mama wa watotot wake wawili,Mariah Carey kutaka kuolewa tena.
The
35-year-old comedian kupitia ukurasa wake wa Instagram siku ya jumamosi alituma salamu za pongezi kwa Mariah huku akimtania kidogo kuhusu kuvishwa pete na tajiri wa Australia James Packer,.
Cannon aliweka utani pale alipotuma picha yake akiwa kitandani hospitali na Kevin Hart by his side.Picha hiyo imetoka katika reality show, Real Husbands of Hollywood.
0 comments:
Post a Comment