Lil Wayne na Birdman wameamua kuweka tofauti zao pembeni.
Mtu mmoja wa karibu na wanachma wa YMCMB amesema hiyo imekuwa ni habari njema kwa masta Drake na Nicki Minaj ambao ilifika wakati walikuwa wakitakiwa kuchagua bega kati ya Lil Wayne ama Birdman.
Nicki na Drake walionekana kuwa upande wa boo wao Weezy,japo walikuwa wanatunza heshima kwa Birdman.
Taarifa zaidi zinadai hali ya sintofahamu iliyotokea kati ya maboss wao ilikuwa ikiwachanganya sana mastaa Nicki na Drake.
Upande wa Nicki alipohojiwa kuhusu yupo upande gani alijibu: “People know that I love Wayne and I have loyalty
towards him, but I love Baby too. I’m very close to Baby, and I don’t
think people know that,”
Monday, January 25, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment