Ile Fillamu kuhusu maisha ya hayati Tupac iliyopewa jina la "All Eyez On Me" ipo katika mchakato wa kuindeleza na sasa wametajwa wahuusika wengine watakaoigizwa maisha yao.
Baada ya kupatikana mtu anayerandana na Tupac ambaye ataigiza maisha yake katika filamu ya ''All Eyez On Me" ,ikabaki kazi kuwasaka wahusika wengine watakaokuwa wamefanan na waliokuwa watu wa karibu wa rapa huyo ambao ni Suge Knight & Jada Pinkett Smith.
Knight ataigiwa na Dominic L. Santana ambaye amewahi kuigiza katika vipindi vya televisheni kama One Tree Hill na The Game na Jada Pinket Smith ambaye alikuwa rafiki wa karibu wa Tupac na walisoma wote darasa moja high school ataigizwa na Kat Graham ambaye ni muigizaji na muimbaji ambaye huigiza katika tamthilia za The Vampire Diaries .
Tazama picha za mastaa hao hapo chini:
Wednesday, January 13, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment