Ikiwa imepita miaka miwili inakwenda mitatu tangu atoe albamu ya Yezus mwaka 2013 Knaye West amekuwa katika wakati mzuri,baada ya kuachia nyimbo mpya,Kupitia akaunti yake ya Twitter rapa na mwanamiitindo Kanye West ametangaza albamu yake ya saba aliyoipa jina Swish itaingia mitaani February 11 16.”
Kanye pia amesema anarudisha ile project yake ya G.O.O.D. Friday music series ambapo kila ijumaa atakua akiachia wimbo na tayari ameshaanza na wimbo ambao amemshirikisha Ty Dolla $ign- “Real Friends” na ingine ni kionjo cha wimbo “No More Parties in LA” featuring Kendrick Lamar.Na ikumbukwe katika kusherekea mwaka mpya aliachia remix ya wimbo wa Drake naFuture“Jumpman” na kuuita “Facts.”
Saturday, January 9, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment