Mwendesha mashtaka huyo wa mahakama ya mwanzo ya L.A amesema wamefikia uamuzi wa kutupilia mbali kesi hizo kutokana na kesi hizo kukosa ushahidi wa kutosha,mazingira na kupitwa sana na wakati.
Aliyefungua kesi wa kwanza alidai kubakwa na Bill Cosby mnamo mwaka 1965 akiwa na umri wa miaka 17,wa pili alidai kubakwa na Cosby mwaka 2008 katika jumba la Palyboy baada ya kuwekewa dawa za kulevya na kupoteza fahamu.
Thursday, January 7, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment