Katiaka mahojiano na kipindi cha radio cha The Breakfast Club muanzilishi wa No Limit Records Master P ameongelea kusikitishwa kwake na kutokuwepo kwa wachapa kazi katika kizazi hiki huku akisisitiza wengi wa wasanii wamekuwa wakifikiria kuwa high looking good
on Instagram na kutupilia mbali umakini katika ubora wa wakifanyacho.
Master P pia ameongelea kuchanganywa na familia yake ambayo wamekuwa watu wa kuangalia maslahi tu na kudai urithi na mgao..
Master P amesema watu wengi wanaangshwa na ndugu katika mipango ama biashara zao na amesema hata mara nyingine akikutana na stara wa masumbwi Floyd Mayweather atamshauri cut family members off.’”
Master P amesema kwasasa amewekeza akili na nguvu katika utengenezaji wa biopic, ambayo amipa jina Ice Cream Man: King Of The South.ambapo amesema itakuwa ya ukweli wa maisha yake na ataawaanika hata waliowahi kumsaliti hapo awali.
Thursday, January 7, 2016
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment